MetaTrader 5 (MT5)

Fanya biashara ya mikataba ya tofauti za bei (CFDs) kwenye vyombo vyako unavyovipenda vya kufanyia biashara ukiwa na
MetaTrader 5. Jukwaa lenye nguvu la kufanyia biashara ya mikataba ya tofauti za bei (CFDs) kwenye jozi za sarafu na vyombo vingine vya kifedha, MetaTrader 5 inapatikana kwa ajii ya kupakuliwa bila malipo kwenye JustMarkets.

MetaTrader5 interface

Kuhusu MetaTrader 5

Jukwaa la Rasilimali Mbalimbali

Toleo la tano la jukwaa la MetaTrader, MetaTrader 5, hutoa utendaji na vipengele vilivyoimarishwa zaidi ya toleo la awali na kwa haraka limekuwa mojawapo ya majukwaa maarufu zaidi ya biashara ya mtandaoni kati ya wafanyabiashara wa fedha za kigeni na mawakala duniani kote.

MetaTrader5 platform desktop interface

Faida za MetaTrader 5

Zana za kufanyia biashara na za uchambuzi

MT5 hutoa viashiria 80 vya kiufundi, vipindi 21 vya wakati, na machaguo mbalimbali ya chati ili kuunda na kutekeleza mikakati tata ya kibiashara.

Biashara ya kialgorithimu

MT5 inaweza kutumika kwa ajili ya kuendeleza na kufanya biashara ya kialgorithimu, kufanya majaribio, na kutengeneza mikakati ya biashara kiotomatiki kwa kutumia lugha ya kutengeneza programu ya MQL5 na Expert Advisor.

Kalenda Jumuishi ya Kiuchumi

Kalenda ya kiuchumi hutoa habari zinazotukia hivi punde kuhusu matukio muhimu ya kiuchumi na matoleo mapya. Tovuti hii pia inajumuisha sehemu ya habari, inayotoa habari na uchambuzi wa kifedha kwa wakati unaofaa.

Usimamizi wa oda

Jukwaa la MT5 hutoa usimamizi wa hali ya juu wa oda (zilizo sokoni, zinazosubiri, zilizosimamishwa, na zilizowekewa mpaka wa kusimamishwa) na njia za utekelezaji, pamoja na uchambuzi wa kina wa soko.

Vitu Unavyoweza Kununua na Kuuza kwenye MT5

Aina ya Rasilimali Maelezo Mifano
Fedha za Kigeni Nunua na kuuza mikataba ya tofauti za bei (CFDs) kwenye jozi zaidi ya 100 za sarafu, kutia ndani jozi za sarafu kuu, jozi za sarafu za kiwango cha chini, au jozi za sarafu zisizouzwa au kununuliwa kwa ukawaida. EURUSD, GBPUSD, USDJPY
Bidhaa Nunua na kuuza mikataba ya tofauti za bei (CFDs) kwenye metali na nishati. Machaguo yanatia ndani dhahabu, fedha, gesi asilia, na mafuta. XAUUSD, XAGUSD, BRENT, XNGUSD
Hisa Pata uzoefu utokanao na uteuzi mkubwa wa mikataba ya tofauti ya bei za hisa kutoka tasnia mbalimbali, kama vile teknolojia na matakwa ya watumiaji. AAPL, META, TSLA
Fahirisi za Hisa Nunua na kuuza mikataba ya tofauti za bei (CFDs) kwenye fahirisi kuu za hisa kutoka Marekani, Uingereza, Ujerumani, Japani, na China. Dow Jones, S&P500, NASDAQ, DAX

Kufanya Biashara kwa Simu na MetaTrader 5

Jukwaa la biashara pia limeundwa kwa ajili ya kufanya biashara kwa simu kwenye simujanja za iOS na Android na tablets. Toleo la simu lina vifaa vyote muhimu vya biashara, ikiwa ni pamoja na oda za biashara, chati zenye mwingiliano, na zana maarufu za uchambuzi, ili wafanyabiashara waweze kufanya biashara kwa simu wanapobofya mara moja.

MetaTrader5 platform mobile interface

Mbona ufanye biashara ukiwa na JustMarkets

reliability

Spredi Ndogo na dhabiti

Spredi ndogo mno na thabiti kuanzia pips 0.0, kuhakikisha utulivu hata wakati ambapo soko linabadilikabadilika mno.

pace

Kutoa fedha papo hapo

Pata pesa zako haraka unapotaka kuzitoa. Chagua kutoka kwenye njia mbalimbali za malipo na upate idhini ya haraka kwa maombi yako.¹

benefits_why_trade_4

Utekelezaji wa haraka

Katika JustMarkets, dili zako zinafanywa papo hapo. Ndani ya sekunde tu, tunahakikisha kuwa biashara zako zinatekelezwa, na kukupa kasi unayohitaji ili kufanya biashara kwa ufanisi.